Thursday, August 16, 2012

newz

 
Alichojibu Waziri mkuu ni hiki….. “mimi siamini hivyo muheshimiwa Spika kwa sababu sheria ile imetungwa na bunge lako hili tukufu kwa hiyo ilimradi bado ipo inatumika, ni sheria halali, yaliyomo humo ndio mliosema yako halali kwa hiyo sisi tutaendelea kuitumia mpaka hapo itakapokua imerekebishwa”
Kwenye line nyingine Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema serikali haitoogopa vikwazo vyovyote vitakavyowekwa na nchi wahisani kufuatia kuzisimamisha meli zinazotuhumiwa kupeperusha bendera ya Tanzania wakati asili yake ni Iran.

No comments:

Post a Comment